ACT-Wazalendo yapinga agizo la Rais Samia kwa wamachinga
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuondoa vikwazo na kusitisha mara moja mipango na operesheni za kuwaondoa wamachinga eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam na maeneo mengine mijini. Chama hicho kimetoa kauli hiyo kwa maelezo kuwa kina wasiwasi kutokana na madai ya wafanyabishara wa Kariakoo katika mgomo wa hivi karibuni kuwataja…