Vikosi vya Rwanda vyasaidiana na M23 kupigana Kongo – DW – 08.07.2024
Ripoti hiyo inasema Kigali, ndiyo inayodhibiti operesheni za waasi hao wa M23. Watafiti wa ripoti hiyo walikadiria wakati wa kuandikwa kwake mnamo mwezi Aprili kwamba, idadi ya vikosi vya Rwanda inalingana au imeivuka idadi ya waasi wa M23 ambayo ilikuwa inadaiwa kuwa karibu 3,000. Ripoti hiyo inajumuisha picha zilizohakikiwa, mikanda ya video, picha zilizopigwa na…