Udom wanadi shahada ya sanaa na ubunifu Sabasaba
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimewahamasisha vijana kusoma fani ya sanaa na ubunifu ambayo inafundishwa katika ngazi ya shahada chuoni hapo. Chuo hicho kinatumia Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kunadi shughuli inazozifanya, masomo yanayofundishwa na kuonyesha kazi mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi hasa katika Idara ya Sanaa na…