Wafanyabiashara Simu200 wamfukuza DC Ubungo

Dar es Salaam. Katika mgomo wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga eneo la Soko la Simu2000, Ubungo jijini Dar es Salaam, wamedai wamekosa imani na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko katika kushughulikia changamoto zao. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kile walichoeleza kuwa licha ya kumlalamikia mara kadhaa kuhusu changamoto zao, ameishia kuwaahidi kwenda…

Read More

Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua.

Nippon Paint, kampuni ya nne inayozalisha rangi kwa ukubwa duniani kwa mapato, imepiga hatua kubwa katika soko la Afrika Mashariki baada ya kuzinduliwa Nairobi Ijumaa, Julai 5. Kampuni tanzu inayomilikiwa, “NIPSEA Paint,” itatambulisha teknolojia ya hali ya juu ya Kijapani ili kuboresha huduma kwa wateja katika urekebishaji wa magari, utunzaji wa gari, upakaji rangi mbao…

Read More

BAJANA: Ishu ya Simba  ilikuwa siriazi

DIRISHA kubwa la uhamisho linaendelea kushika kasi kwa klabu mbalimbali zikiwamo za Ligi Kuu Bara hasa Simba, Yanga na Azam FC ambazo zimekuwa gumzo zaidi kutokana na sajili za kibabe ambazo zimekuwa zikifanya tangu dirisha hili limefunguliwa. Kati ya mijadala mikubwa kwa mashabiki kila kona kuanzia kwenye mitandao ya kijamii hadi vijiwe vya kahawa, ni…

Read More

BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombunu ya barabara katika Wilaya ya Karagwe hivyo amewataka Wawekezaji na Wafanyabishara kuendelea kuchangamkia fursa za Uwekezaji. Bashungwa ameeleza hayo Julai 07, 2024 wakati akizundua Hoteli mpya ya Mlimani City Mikyolo iliyopo Kata…

Read More

Wamachinga wanavyoitesa Serikali | Mwananchi

Dar/mikoani. Uamuzi wa Serikali kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu kama Wamachinga barabarani na kuwapatia maeneo rasmi ya kufanyia shughuli zao, umeonekana kugonga mwamba. Hiyo ni baada ya makundi ya wafanyabiashara hao, kushuhudiwa yakirejea kwa kasi barabarani, huku ugumu wa biashara katika maeneo waliyopangiwa ukitajwa kuwa moja ya sababu. Kwa mujibu wa wamachinga wenyewe, kupangwa maeneo yaliyotajwa…

Read More

Mil 50 Lina Tour zavutia gofu Arusha  

WACHEZA gofu ya kulipwa na ridhaa wanaanza kuondoka leo kwenda Arusha kwa ajili ya kusaka kitita cha Sh50 milioni ambazo ni zawadi kwa washindi wa raundi ya tatu ya Lina PG Tour itakayoanza Alhamisi hii kwenye viwanja vya Arusha Gymkhana jijini humo. Wakizungumza na Mwanaspoti kwa nyakati tofauti wikiendi iliyopita, wacheza gofu kutoka klabu za…

Read More