Sintofahamu wamachinga Simu2000 kufunga biashara, barabara

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar eS Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za kudai haki yao. Wamachinga hao wanadaiwa kulalamikia mpango wa sehemu ya eneo wanalofanyia kazi zao kukabidhiwa kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart)….

Read More

Haya ndio maajabu ya beki mpya Yanga, Boka

BEKI aliyesajiliwa na Yanga, Chadrack Boka kutoka FC Lupopo ya DR Congo, inaelezwa anapokuwa uwanjani ni mmyumbulikaji katika kufanya majukumu zaidi ya nafasi yake na pia ana kasi na nguvu. Shuhuda wa hilo ni beki wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ aliyesema baada ya kukutana naye kwenye mechi ya ligi kuu,…

Read More

OSHA, BRELA zatakiwa kusomana

WAKALA wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) umeelekezwa kuhakikisha mifumo yake inasomana na Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), ili kuleta tija zaidi katika utekelezaji wa majukumu. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi…

Read More

Buswita bado yupo Namungo | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji, Pius Buswita amekata mzizi wa fitina kwa kuamini kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Namungo akimaliza uvumi kwamba alikuwa anaachana na timu hiyo ili atue kwingine. Nyota huyo wa zamani wa Yanga, alikuwa akiwaniwa na Dodoma, JKT Tanzania na Mashujaa, lakini akaamua kusalia kwa Wauaji wa Kusini baada ya kuvutiwa na ofa …

Read More