Azam FC haina papara, mambo kimyakimya
AZAM inafanya mambo kimyakimya kwani tayari ilishatangulia kambini jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya kabla ya kesho kwenda Zanzibar kuendeleza kambi hiyo na baadae kupaa hadi Morocco na ikirudi nchini itakuwa na kazi ya kusaka mataji katika michuano ya msimu wa 2024-2025. Awali Azam ilikuwa iondoke Dar es Salaam leo, lakini ikasogeza mbele…