MAPISHI,BURUDANI NA MIJADALA VYANOGESHA SIKU YA KISWAHILI COMORO

WWatanzania waishio nchini Comoro na wananchi wa Kisiwa cha Ngazija na wanadiplomasia wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani kwa burudani mbali mbali pamoja na mijadala. Takribaj washiriki 500 wamejitokeza katika Ukumbi wa Bunge la nchi hiyo ambapo nyimbo za kitanzania,mashairi na maigizo vilipamba shughuli hiyo. Aidha,mapishi mbali mbali ya asili ya pwani yalinogesha…

Read More

Makalla atwishwa kero nne Ilala, awataka watendaji kuzitatua

Dar es Salaam. Kero nne za barabara, ardhi, umeme na huduma za afya zimewasilishwa na wananchi wa Chanika wilayani Ilala, mbele ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla wakiomba kiongozi huyo kuwasaidia kuzitafutia ufumbuzi. Changamoto hizo zimewasilishwa leo Jumapili Julai 7, 2024 katika mkutano wa hadhara wa Makalla…

Read More

Mbowe akerwa na kodi kwa masikini

Mwanga. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kukerwa na utitiri wa kodi wanazotozwa wananchi bila kuzingatia uhalisia wa vipato vyao, akisema kinachofanyika ni kuwakandamiza zaidi. Kwa mujibu wa Mbowe, kanuni sahihi ya utozaji kodi ni kuhakikisha anayelipa ni yule mwenye kipato cha ziada na sio wananchi wote. Mbowe ameyasema hayo leo, Jumapili Julai 7, 2024…

Read More

Askofu Malasusa: Wakristo wengi wamesahau thamani yao

Mbeya. Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema Wakristo wengi hivi sasa wamesahau thamani yao na kuanza kujifananisha na kila mtu. Dk Malasusa ameyasema hayo leo Jumapili Julai 7, 2024 wakati wa kuweka wakfu Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde Usharika wa Foresti Mpya jijini Mbeya, ambalo ujenzi…

Read More

Mollel afunika Lugalo Open kwa Mapro

NUSU Mollel wa Arusha ndiye kinara wa mashindano ya wazi ya gofu ya Lugalo (Lugalo Open) baada ya kupiga mikwaju 147 katika michuano ya siku mbili iliyomalizika kwenye viwanja vya Lugalo jijini mwishoni mwa juma. Mollel aliwashinda wapinzani wake wa karibu Frank Mwinuka na Hassan Kadio kwa mikwaju minne baada ya wachezaji hao wawili kufungana…

Read More