Vifo, kutoweka watumishi sekta ya afya vyaibua hofu
Arusha/Moshi. Nini kimewapata? Ndilo swali linaloumiza vichwa vya wengi baada ya mwili wa muuguzi katika Hospitali ya Wilaya ya Meru kuokotwa Mto Nduruma, huku muuguzi mwingine wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC akitoweka. Itakumbukwa mwishoni mwa wiki, mwili wa aliyekuwa mfamasia katika Kituo cha Afya Isansa wilayani Mbozi, Daudi Kwibuja, ulikutwa kando mwa barabara ya…