GGML kukusanya Sh2.6 bilioni mapambano dhidi ya VVU
Chato. Licha ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kuonekana kupungua kwa watu wazima, juhudi za makusudi za kutoa elimu kwa vijana wenye wa miaka kati ya 15-24 zinahitajika ili kuiwezesha nchi kufikia malengo yake ya sifuri tatu yaani maambukizi mapya sifuri, kumaliza unyanyapaa sifuri na vifo sifuri ifikapo mwaka 2030. Na katika kuunga mkono…