Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 16
Habari

Wanandoa wafa, ajali iliyoua walimu wanne Nyasa

December 29, 2024 Admin

Songea. Wanandoa wawili ni miongoni mwa watu sita waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma. Ajali hiyo ilitokea jana saa

Read More
Habari

TGNP YAENDESHA WARSHA KWA VIJANA WA VYUONI KUHUSU AZIMIO LA BEIJING

December 29, 2024 Admin

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imetoa mafunzo maalum kwa vijana kutoka vyuo mbalimbali nchini na wawakilishi wa mashirika ya vijana

Read More
Michezo

Baresi: Wakitua hawa tu, mmekwisha

December 29, 2024 Admin

MASHUJAA jana ilipoteza kwa mabao 3-1 mbele ya Dodoma Jiji ikiwa ni kipigo cha tano kwa timu hiyo katika mechi 16 za Ligi Kuu Bara

Read More
Habari

Ludewa wapata ‘ambulance’ pikipiki kuboresha afya

December 29, 2024 Admin

Njombe. Wananchi wilayani Ludewa mkoani hapa wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboreshea huduma bora za matibabu na kunusuru maisha yao, baada ya kukabidhiwa vyombo vya usafiri

Read More
Kimataifa

Roho ya ustahimilivu inakabili upepo wa kuenea kwa jangwa nchini Saudi Arabia – Masuala ya Ulimwenguni

December 29, 2024 Admin

Majangwa ya Saudi Arabia ni miongoni mwa majangwa makubwa zaidi duniani na kudhibiti uhamaji wa asili wa mchanga daima imekuwa changamoto sio tu kwa wakulima,

Read More
Michezo

Adhabu zaipa bodi ya ligi Sh10.5 milioni

December 29, 2024 Admin

Adhabu mbalimbali zilizotolewa na kamati ya uendeshaji na usimamizi ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)  kuvuna Sh10.5 milioni. Adhabu hizo zimetokana na makosa mbalimbali

Read More
Habari

Lipumba: Rais Samia ajisahihishe Uchaguzi Mkuu 2025

December 29, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema uchaguzi mkuu mwakani ni nafasi nzuri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kusahihisha

Read More
Michezo

Bado tatu tu, Matampi anaswe

December 29, 2024 Admin

KIPA namba moja wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’, ameendelea kung’ara katika Ligi Kuu Bara, kwa sasa akisaliwa na clean sheet tatu tu aifikie rekodi iliyowekwa

Read More
Habari

Watu 179 wafariki katika ajali ya ndege Korea Kusini – DW – 29.12.2024

December 29, 2024 Admin

Kulingana na wizara ya uchukuzi ya Korea Kusini, ndege hiyo ya shirika la Jeju Air, chapa 7C2216, ikitokea mji mkuu wa Thailand, Bangkok, ikiwa na

Read More
Habari

Wimbi la udukuzi mtandao wa  WhatsApp

December 29, 2024 Admin

Dar/Moshi. Wimbi la udukuaji wa akaunti za WhatsApp limeanza kutikisa nchini huku watumiaji wa mtandao huo wakilalamika kutapeliwa baada ya kutoa ‘code number’ kwa wadukuaji

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 15 16 17 … 2,317 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.