Valentin Nouma atambulishwa rasmi Simba SC
KLABU ya Simba imemtambulisha beki wa kushoto mpya raia wa Burkina Faso, Valentin Nouma akitokea timu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu. Nouma mwenye umri wa miaka 24 anakwenda kuiongezea Simba nguvu upande wa kushoto akisaidiana na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ambapo msimu uliopita alikuwa pekee katika nafasi hiyo, japo…