Waziri Makamba awaasa Marekani kuliishi Azimio la Uhuru
Katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 248 ya Uhuru wa Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.), ameishukuru na kuipongeza Marekani kwa mchango wake katika maendeleo ya Tanzania huku akiwasihi kukumbuka na kuenzi yale waliyoazimia Julai 4, 1776. Waziri Makamba amezungumza hayo akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika…