PBZ yakabidhi gawio la bilioni 7 kwa SMZ
BENKI ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imekabidhi gawio la Sh bilioni saba kwa mwanahisa wake wa pekee Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kufuatia faida iliyopata katika kipindi cha mwaka 2023. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inamiliki asilimia 100 ya hisa za benki hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mkurugenzi Mwendeshaji wa PBZ, Arafat Haji alikabidhi gawio…