TIA yajiwekea mpango mkakati wa Kuendeleza vijana wenye Ubunifu

Wanafunzi wakipata maelezo katika Banda la TIA kwenye Maonesho ya 48 Biashara Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. *Ni pamoja na kuwaunganisha katika soko la ajira kwa kurasimisha kibiashara Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imesema kuwa katika vijana wanaosoma katika Taasisi hiyo wakawa na ubunifu watasimamiwa…

Read More

Makambo kutua Tabora United, Lyanga atajwa KenGold

NYOTA wa zamani wa Yanga aliyekuwa akikipiga Al Murooj ya Libya, Heritier Makambo anatajwa kuanza mazungumzo na Tabora United ili ajiunge na timu hiyo iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita. Inadaiwa kuwa mazungumzo ya pande hizo mbili yanaendelea vyema na huenda akatua nchini. WINGA wa zamani wa Azam FC, Ayoub Lyanga anatajwa kuwindwa na KenGold baada…

Read More

WAZIRI NAPE AFUNGUA RASMI MASHINDANO YA VODACOM LUGALO OPEN 2024

  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Nape Nnauye akizungumza na Wanahabari machache Leo Julai 06,2024 Viwanja vya Klabu ya Lugalo gofu Jijini Dar es Salaam wakati wa kufungua Mashindano ya Vodacom Lugalo Open 2024. Mkurugenzi wa Wateja wakubwa Kutoka Kampuni ya Vodacom  Nguvu Kamando akiongea machache namna Kampuni hiyo ilivyojidhatiti kudhamini mchezo wa gofu….

Read More

Dili la Madeleke, Pamba limetiki

KLABU ya Pamba Jiji imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki wa kulia wa Mashujaa, Samson Madeleke kwa mkataba wa mwaka mmoja. Taarifa kutoka ndani ya kikosi hicho zimeliambia Mwanaspoti kuwa Madeleke amekamilisha uhamisho baada ya kutofikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya na Mashujaa kufuatia ule wa miezi sita aliousaini kuisha msimu uliopita. “Ni kweli nyota huyo…

Read More

WAZIRI MAKAMBA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI 15 WA EAC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb) akiongoza Mkutano wa faragha wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki katika Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Zanzibar. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la EAC Mhe. Deng Alor Kuol wa Sudan Kusini na…

Read More

Yanga yashusha beki usiku mnene, Wakongo waleta kauzibe,

SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki wa kushoto mpya, Chadrack Boka usiku mnene wa juzi, huku ikikwepa kiunzi kilichowekwa na FC Lupopo aliyokuwa akiichezea msimu uliomalizika hivi karibuni. Beki huyo aliyetua sambamba na meneja wake akiyokea jiji…

Read More

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuongezeka kwa mvutano kwenye mpaka wa Lebanon na Israel 'Blue Line' – Global Issues

Ongezeko la hivi punde, lililotokea siku ya Alhamisi, “linaongeza hatari ya vita kamili”, Ofisi ya Msemaji wa Katibu Mkuu ilisema katika kumbuka kwa waandishi wa habari. “Kuongezeka kunaweza na lazima kuepukwe. Tunasisitiza kwamba hatari ya hesabu potofu na kusababisha moto wa ghafla na mpana ni ya kweli,” iliongeza, ikisisitiza kuwa suluhisho la kisiasa na kidiplomasia…

Read More