Aliyeitibulia Simba atua | Mwanaspoti
SIMBA inaendelea kutambulisha mastaa ambapo jana ilikuwa ni zamu ya kiungo Mnigeria Augustine Okajepha akiwa mchezaji wa saba mpya, saa chache baada ya kuliweka hadharani benchi jipya la ufundi lenye sura mpya tano akiwamo kocha wa makipa aliyewahi kuwatibulia Wekundu katika michuano ya CAF. Kocha huyo anayeshtua ni Wayne Sandilands aliyetua nchini kuwanoa kipa Ayoub…