JAJI MKUU TANZANIA ATAKA MAHAKAMA KUUNGANISHWA NA KANZIDATA YA BRELA
Na Mwandishi Wetu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuiwezesha Mahakama nchini kuunganishwa kwenye Kanzidata ya Wakala ili kuweza kuhakiki taarifa za kampuni kwa uharaka pindi inapokuwa inashughulikia mashauri yahusuyo kampuni hizo Rai hiyo ameitoa leo tarehe 5 Juni, 2024 alipotembelea banda la…