Wanafunzi wenye ulemavu Kawe waomba kukarabatiwa madarasa
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wanafunzi wenye ulemavu katika Shule ya Msingi Kawe iliyopo Manispaa ya Kinondoni wameomba wadau kujitokeza na kukarabatia madarasa yao ili waweze kujifunza vizuri. Shule hiyo ilikuwa na madarasa matatu ya wanafunzi 52 wenye ulemavu ambao ni wasioona, wenye ulemavu wa viungo, ulemavu wa akili, usonji na viziwi lakini kwa sasa…