TUME YA MADINI KUVUNJA REKODI YA UKUSANYAJI MADUHULI YA SERIKALI
-Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 imekusanya bilioni 753 Tume ya Madini imevunja rekodi ya makusanyo ya Maduhuli ya Serikali tokea kuanzishwa kwake baada ya kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 753 kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 ukilinganisha na kiasi cha shilingi bilioni 678 kilichokusanywa Mwaka 2022/23. Hayo ameyasema Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, wakati…