Taharuki makaburi 19 yakibomolewa na wasiofahamika Tabora
Tabora. Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu wasiofahamika wameyavamia na kuyavunja makaburi 19 yaliyopo Mtaa wa Magubiko kata ya Kiloleni Manispaa ya Tabora, huku tabia hiyo ikitajwa kuwa imekuwa ya ikijirudia kwa matukio tofauti yanayofanana na hilo. Alexander Ntonge aliyezika ndugu yake hivi karibuni, amesema yeye alipigiwa simu kuwa umetokea uharibifu wa kuvunjwa makaburi na…