MTU WA MPIRA: Hivi mapro wa kigeni wamewakosea nini?
NIMEONA sehemu mjadala kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni nchini. Kuna watu bado wanaamini kuwa idadi ya wachezaji 12 wa kigeni katika ligi yetu ni kubwa. Inashangaza sana. Hoja ya hawa wasioamini wanataka idadi ya wachezaji wa kigeni ipunguzwe. Wanadai wingi wa wageni unaziba nafasi za wachezaji wazawa. Inachekesha kidogo. Kuna vitu vinafikirisha kuhusu mjadala…