Serikali yatoa onyo kwa makandarasi
Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka makandarasi wanaopewa dhamana ya kujenga miradi ya maendeleo Zanzibar kuheshimu mikataba ya makubaliano wanayoingia kati yao na Serikali, vinginevyo hawatasita kuwachukulia hatua. Hemed ametoa kauli hiyo Julai 6, 2024 alipofanya ziara kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi Kuu ya…