WAZIRI KIJAJI AHIMIZA WATENDAJI KUFANYA KAZI KWA BIDII
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kupokewa katika Ofisi ndogo jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai, 2024. ….. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu…