RITA YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA KWA MAFANIKIO

  Afisa msajili.  Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ,Mariam Ling’ande (kulia) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam. Mafisa mbalimbali wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo…

Read More

Aliyetakiwa Simba atambulishwa Mamelodi | Mwanaspoti

BAADA ya kukwama kujiunga na Klabu ya Simba, Kocha Steve Komphela ametua Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Komphela ataungana na Monqoba Mngqithi kukikonoa kikosi hicho kuchukua mikoba ya Rhulani Mokwena aliyefutwa kazi siku chache zilizopita. Ikutakumbukwa kwamba Komphela amerejea Mamelodi alikowahi kufanya kazi kuanzia 2020 hadi 2023 akisaidiana na Mokwena. Kabla ya kutambulishwa Mamelodi, Komphela…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Wazungu walituachia Inaki wakamchukua Nico wao

RAFIKI zetu Wachina sio watu wanafiki sana. Wana bidhaa zao huwa wanatengeneza kwa ajili ya Afrika, halafu wana bidhaa wanatengeneza kwa ajili ya Wazungu wa mataifa yaliyoendelea. Bidhaa zenye ubora zaidi. Watoto wetu wanaozaliwa Ulaya wakati mwingine wanajikuta kama bidhaa tu. Kuna bidhaa zenye ubora zinabaki kwao, halafu kuna bidhaa ambazo wanaleta Afrika. Mara chache…

Read More

Viongozi mbalimbali watembelea Banda la NIC insurance Maonesho ya Sabasaba.

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Khamis Juma akisaini kitabu  wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania,  Profesa Ibrahim Hamis Juma  akipata maelezo kutoa  Afisa Bima  wa NIC Insurance  Deogratius Mlumba wakati  Jaji Mkuu hiyo…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Duke Abuya kuihama Singida Black Stars

KIUNGO aliyekuwa akikipiga Ihefu (sasa Singida Black Stars), Duke Abuya inaelezwa yupo katika mazungumzo ya kujiunga na Coastal Union itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Inadaiwa Abuya aliyemaliza mkataba na Singida ni pendekezo la kocha David Ouma akitaka kuibeba timu katika michuno ya CAF kwa uzoefu alionao. SINGIDA Black Stars, unadaiwa kuridhia kutomuongezea mkataba mpya aliyekuwa…

Read More