Ripoti ya CAG yafichua udhaifu wa taasisi za umma

Unguja. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imefichua jinsi baadhi ya taasisi za umma zinavyokosa usimamizi mzuri wa udhibiti wa ndani kwa kutoanzisha vitengo hivyo kushindwa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, akishauri vipatiwe mafunzo. Hayo yamo kwenye taarifa ya CAG katika kitabu cha ukaguzi wa taarifa za fedha za…

Read More

JKT yaipiga bao Simba | Mwanaspoti

JKT Tanzania imeendelea kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ambapo inaelezwa imemalizana na beki wa kati, Abdulrahim Seif Bausi aliyekuwa Uhamiaji ya Zanzibar aliyewahi kutakiwa na Simba kabla ya maafande hao kuwapiga bao Wekundu waliombeba Abdulrazak Hamza na kumtambulisha juzi. Beki huyo, ambaye ni mtoto wa nyota wa zamani wa kimataifa…

Read More

Mwabukusi aenguliwa kugombea urais TLS

Dar es Salaam. Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Kamati ya rufaa za uchaguzi ya chama hicho, imemuengua wakili Boniface Mwabukusi kugombea urais, ikisema ana doa la kimaadili kinyume na kanuni za uchaguzi huo. Katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu,…

Read More

Morocco: Stars haina kazi rahisi Afcon 2025

SAA chache baada ya timu ya taifa, Taifa Stars kupangwa kundi moja na DR Congo, Guinea na Ethiopia katika kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 zitakazofanyikia Morocco, kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amekiri hilo sio kundi jepesi na kwamba Tanzania ni lazima ikaze kwelikweli ili iende…

Read More

Coastal UNION yamkomalia Lawi | Mwanaspoti

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union imeendelea kuikazia Simba kwa kumng’ang’ania beki wa kati Lameck Lawi, ambaye hapo awali walikubaliana kumuuza kwa Wekundu hao kabla ya kubadili gia hewani. Lawi, mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Coastal, alishatambulishwa na Simba baada ya kudaiwa kukubaliana na Wagosi pamoja na mchezaji mwenyewe, lakini kitendo cha mabosi wa Msimbazi…

Read More

Kramo sasa apelekwa kwa Wasudan

BAADA ya vuta nikuvute kuhusiana na mkataba wa winga wa Simba, Aubin Kramo kuwa mgumu kuvunjwa, kwa sasa mchezaji huyo msimu ujao atacheza kwa mkopo katika kikosi cha Al Hilal ya Sudan. Kramo tangu ajiunge na Simba msimu uliopita akitokea ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast hakuwahi kuitumikia kwenye mechi za mashindano kutokana na kukabiliwa…

Read More

WADAU WA USAFIRI WA ANGA WAENDELEA KUTEMBELEA “AVIATION HOUSE” NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA

  Mjumbe wa Bodi ya TCAA CPA Rukia J. Adam akipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi Mkuu wa kitengo cha Uongozaji Ndege, Godlove Longole alipokuwa anaelezea kuhusu Chuo cha Usafiri wa Anga nchini(CATC) kinachomilikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere…

Read More

Maajabu ya mrithi wa Chama Simba

ALFAJIRI ya jana Ijumaa, Simba iliupokea ugeni mzito kutoka Afrika Kusini, wakati kocha mkuu mpya anayetarajiwa kutambulishwa, Fedluraghman ‘Fadlu’ Davids na wasaidizi wake walipotua, lakini kiungo mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Jean Charles Ahoua akikabiliwa na mtihani mzito wa Clatous Chama. MVP huyo wa Ligi Kuu ya Ivory Coast, ametua Simba akitokea klabu ya Stella akipewa…

Read More

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI – MICHUZI BLOG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi Wateule kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Julai , 2024. Viongozi walioapishwa ni Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano…

Read More

Leo ndio leo mastaa wote Yanga kufahamika 

YANGA imetoa taarifa mpya juu ya kambi  ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano na kwamba sasa itaanza tena palepale ilipojiandaa kuchukua mataji nane ndani ya misimu mitatu ambapo mastaa wote wapya waliosajiliwa na wale walioongezewa mikataba watakuwa hadharani kuanzia keshokutwa Jumatatu. Taarifa mpya kutoka Yanga inasema kikosi hicho sasa kitarudi rasmi kambini kuanza mazoezi,…

Read More