JAJI MKUU AIPONGEZA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI (CMA)
• Ahidi Kuitetea Kupata Bajeti Wezeshi Kutekeleza Majukumu Yake. Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa kuendelea kuboresha na kusogeza huduma zake karibu na wananchi. Pongezi hizo amezitoa alipotembelea banda jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na taasisi zake katika maonesho ya sabasaba yanayoendelea…