Unesco kuiunga mkono Tanzania mageuzi ya kidijitali
Dar es Salaam. Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limesema liko tayari kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha mabadiliko ya kidijitali. Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Mawasiliano wa Unesco, Tawfik Jelassi amesema hayo kupitia barua kwa Mkurugenzi wa Tume ya Tehama nchini, Dk Nkundwe Mwasaga. Dk Nkundwe hivi karibuni alikuwa kikazi…