TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YAWAITA WANANCHI WENYE MALALAMIKO
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv TUME ya Utumishi wa Mahakama imewataka wananchi wenye malalamiko mbalimbali kuhusu vitendo vya ukiukwaji wa maadili ikiwemo kuombwa rushwa unaofanywa na mahakimu na majaji wawasilishe kwa njia ya maandishi. Imeelezwa baada ya Tume kupokea malalamiko hayo hufanya uchunguzi kujiridhisha na tuhuma zinazotolewa dhidi ya watumishi hao na ikibainika kuchukua hatua…