Bodi ya Sukari yajibu hoja za wazalishaji utoaji vibali
Dar es Salaam. Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imejibu hoja za wazalishaji wa bidhaa hiyo nchini walizoziibua Julai Mosi, wakidai hatua yao ya kuchelewa kuagiza sukari, ilitokana na kucheleweshewa vibali na SBT. Pia waliilalamikia SBT kwamba ilitoa vibali vya uagizaji sukari kwa kampuni zisizostahili, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji…