Hiki ndicho anachokipeleka Baleke Yanga
HII sasa sifa. Hizi huenda zikawa taarifa za kushtukiza kwa mashabiki wa soka nchini, kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam, sasa imemshusha kikosini, Jean Baleke aliyewahi kuwika na Wekundu wa Msimbazi miezi sita tu iliyopita, lakini hiki ndicho anachokwenda nacho Jangwani. Ndio, hivi unavyosoma Mwanaspoti ni kwamba…