Samia amtwisha Jafo zigo la Kariakoo, ataka ripoti kila baada ya miezi 3
RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo kwenda ‘kushinda’ Kariakoo badala ya kukaa ofisini ili kushughulikia changamoto za wafanyabiashara wa eneo hilo pamoja na nchi nzima kisha kumpatia ripoti kila baada ya miezi mitatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia amemuagiza akakae na kusikiliza wafanyabiashara hao wa Kariakoo kwa sababu…