Wanaomkwamisha Samia kuipatia Tanzania katiba mpya, watajwa
Mtandao wa Utetezi wa Haki za Binadamuy Tanzania (THRDC) umesema watu wanaomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ndio wanaomkwamisha kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia mtandao huo umeeleza kuwa mfumo wa sheria kandamizi pamoja na katiba ya sasa ni chanzo kinachomkwamisha Rais Samia kutekeleza utashi wake katika utetezi wa…