TWIGA STARS YAJIANDAA NA MECHI ZA KIRAFIKI
Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” imefanya mazoezi kwenye fukwe za Coco kujiandaa na michezo ya Kimataifa ya kirafikifi dhidi ya Tunisia na Botswana. @twigastarstz #KonceptTvUpdates
Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” imefanya mazoezi kwenye fukwe za Coco kujiandaa na michezo ya Kimataifa ya kirafikifi dhidi ya Tunisia na Botswana. @twigastarstz #KonceptTvUpdates
Ushindi huo unahitimisha enzi ya serikali ya chama cha kihafidhina cha Conservative, kilichokaa madarakani kwa miaka 14. Starmer amechukua wadhifa huo muda mfupi baada ya kukutana na Mfalme Charles III kwenye la Buckingham na kuombwa rasmi kuunda serikali mpya. Mwanasiasa huyo amekiongoza chama chake kupata ushindi mkubwa kabisa na wa kihistoria katika uchaguzi wa hapo jana….
Dar es Salaam. Muda wa zabuni iliyotangazwa kusaka mkandarasi atakayekifanyia matengenezo makubwa kivuko cha Mv Kigamboni umefika mwisho, kampuni mbili za Kitanzania zikijitokeza kuomba kazi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya zabuni hiyo namba X8/2023/2024/W/53 mkandarasi anayehitajika ni atakayekuwa na uwezo wa kufanya ukarabati mkubwa wa kivuko hicho, kwa maana ya kubadilisha zaidi ya asilimia…
Jumla ya washindi 60 wa mbio za NBC Dodoma Marathon msimu huu wanatarajiwa kuondoka na zawadi zenye jumla ya thamani ya sh milioni 82 pamoja na medali, imefahamika. Mbio hizo zenye hadhi ya kimataifa zinatarajiwa kufanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma zikiwa na lengo la kukusanya fedha ili kusaidia mapambano dhidi…
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imetoa mikopo ya shilingi bilioni 108.43 ili kuwezesha uanzishaji na uendelezaji wa viwanda vya uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na mifugo nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai 5, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo amesema Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara maarufu (Sabasaba) ni fursa muhimu ya kutangaza na kuwakaribisha wawekezaji ili kuona fursa mbalimbali za uwekezaji nchini. Ameongeza kuwa Maonesho hayo yamekuwa na mvuto mkubwa kwa kuwa Wizara na taasisi zilizoshiriki zimeonesha fursa zilizopo katika uwekezaji. “Tanzania…
Ikulu ya Marekani ya White House imesema makubaliano hayo ya kusitisha mapigano yatakayoanza kutekelezwa leo Ijumaa kuanzia saa sita usiku na kuendelea hadi Julai 19, yatayahusisha maeneo ambayo migogoro huwaathiri zaidi raia. Marekani yasema mashirika ya msaada yanashindwa kufikia eneo la mgogoro Katika taarifa, msemaji wa baraza la usalama la kitaifa la Marekani Adrienne Watson,…
Dar es Salaam. Ni siku ya pili Shadrack Chaula (24) ameanza kutumikia adhabu yake ya kifungo cha miaka miwili jela ama kulipa faini ya Sh5 milioni, baada ya kutiwa hatiani. Chaula alihukumiwa adhabu hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa Tiktok, japo awali alikamatwa kwa kosa la kuchoma picha ya Rais…
SERIKALI imewaagiza walimu wakuu wa shule za msingi nchini kuhakikisha wanaweka mifumo na mikakati thabiti ya kuwalinda Watoto dhidi ya unyanyasaji na ukatili wa aina yoyote ili kufanya shule kuwa mazingira salama kwao. Hayo yamesema na Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu sayansi na Teknoljia Profesa Carolyne Nombo katika hotuba yake iliyosomwa na Kamishna wa…
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba maalum kwa ajili ya mkutano wa mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS), unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kuanzia tarehe 9 hadi 13 Septemba 2024. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na…