Vyama vyaitupia lawama Takukuru rushwa za uchaguzi
Dar es Salaam. Baadhi ya vyama vya siasa vimeeleza mikakati yao ya ndani ya kukabiliana na rushwa, vikielekeza lawama kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwamba haina utashi wa kuikabili. Vyama hivyo vimetolewa kauli hiyo, wakati Takukuru ikisema kuna viashiria vya rushwa vimeanza kujionyesha wakati Taifa likielekea katika uchaguzi wa Serikali za…