Waziri Mkuu Uingereza abwagwa, Labour washinda
Uingereza. Chama cha Labour kimeshinda Uchaguzi Mkuu wa Uingereza 2024 baada ya kufikisha viti 409 kikipita idadi ya viti 326 vinavyohitajika. Ushindi wa Labour umeacha pigo kubwa kwa Chama cha Conservative kilichopata viti 113, likiwa ni anguko kubwa katika historia yao. Waziri Mkuu wa Uingereza, aliyepo madarakani Rishi Sunak amesema anakubali kuwajibika kwa kushindwa katika…