TARURA WEKENI VIVUKO, BARABARA ZA PEMBEZONI NA TAA KWA USALAMA WA WATUMIAJI WA BARABARA – MHA. MATIVILA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu) Mhandisi Rogatus Mativila ameilekeza TARURA kuweka alama za vivuko vya watembea kwa miguu, barabara za pembezoni za watembea kwa miguu, taa za barabarani pamoja na za kuongozea magari kwa ajili ya usalama wa watumiaji wa barabara mpya ya mwangaza inayounganisha kisasa na medeli. Mhandisi Mativila ametoa maelekezo hayo…