BoT yaendelea na Ukomo wa Riba ya Asilimia 6 kwa Robo ya Tatu ya Mwaka 2024
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuendelea kwa ukomo wa riba ya asilimia 6 kati yake na benki za biashara nchini kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2024. Riba hiyo itatumika kuanzia Julai 4 hadi Septemba mwaka huu. Akisoma taarifa hiyo leo, Julai 4, jijini Dar es Salaam,…