WMA- NI MUHIMU MWANANCHI YOYOTE KUHAKIKISHA ANATUMIA MITA YENYE NEMBO YA WMA
WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) limewataka wananchi kuhakikisha kila mita wanayoitumia ikiwemo ya maji na umeme ziwe zimefanyiwa uhakiki kabla ya kuiingiza katika matumizi ili waweze kufanya malipo sahihi ya fedha yanayoendana na matumizi yao. Wito huo umetolewa leo Julai 4, 2024, wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba yanayofanyika katika viwanja…