Viongozi wa nchi wanachama wa SCO waahidi kushikamana – DW – 04.07.2024
Pembezoni mwa mkutano huo wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai SCO unaoendelea huko mjini Astana, miongoni mwa nchi zilizoahidi kusuluhisha tofauti zao ni India na China kufuatia mvutano wao kuhusu eneo pana linalojumisha sehemu ya safu za milima la Himalaya. Mvutano kati ya Beijing na New Delhi umeendelea tangu kuliposhuhudiwa makabiliano ya mwezi Juni mwaka 2020…