Tanzania Ipo Kundi “H” Kufuzu AFCON 2025 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), leo July 04,2024 limepanga makundi ya kuwania Kufuzu fainali za AFCON 2025 zitakazofanyika Nchini Morocco. Taifa Stars (Timu ya Taifa Tanzania) imepangwa Kundi H na timu za Congo DR, Guinea na Ethiopia, hii ikiwa ndio nafasi ya kipekee Taifa Stars ya kuwania kucheza AFCON kwa mara ya nne katika historia….