Mchango wa Samia matibabu ya Sativa waiibua UVCCM

Dar es Salaam. Siku 12 tangu alipopotea na baadaye kupatikana akiwa na majeraha, Edgar Mwakabela ‘Sativa’, Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeibuka na kuzungumzia sakata hilo huku ukishauri vijana kusimama kwenye misingi ya kidemokrasia na kujadiliana kwa hoja. Katibu Mkuu wa umoja huo, Jokate Mwegelo amesema kujadiliana kwa hoja ndio msingi wa…

Read More

Geita Gold mambo yametiki | Mwanaspoti

HOFU kubwa ya mashabiki wa soka mkoani Geita ilikuwa ni hatma ya Geita Gold baada ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu kama Halmashauri ya mji huo itaendelea kuimiliki na kushiriki Championship, lakini wameshushwa presha kwani uongozi umekubali na sasa mipango imeanza kusukwa. Timu hiyo ilishuka daraja msimu ulioisha na sasa inajiandaa kushiriki Ligi ya Championship…

Read More

TANZANIA, QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo yamebainika leo Julai 4,2024 wakati wa kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb)…

Read More

Naibu waziri Kapinga awahakikishia umeme wa uhakika wananchi

Naibu Waziri wa Nishati. Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kuwasimamia kwa umakini wakandarasi ili waweze kukamilisha kazi zao kwa wakati na kwa ufanisi, pia amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaongeza nguzo 40 ambazo ni Sawa na kilometa mbili kwa wananchi wa vijiji vya Manzwagi na Kidunyashi kabla ya tarehe 27 Julai, 2024….

Read More

Kanuni kutambua makazi nje ya hoteli kwa watalii zaandaliwa

Unguja. Baada ya kuwapo makazi holela ya watalii wanaofikia kwenye nyumba binafsi, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kwa kushirikiana na Kamisheni ya Utalii Zanzibar, imeweka kanuni za makazi kwa watalii wasiofikia hotelini ambazo zitatumika kwa watoa huduma wa makazi hayo. Akitangaza kanuni hizo katika mkutano wa wadau wa utalii Julai 4, 2024, Waziri…

Read More

Kagera SUGAR kushusha mashine mpya 12

KIKOSI cha Kagera Sugar kitaanza maandalizi ya kujifua na msimu mpya Jumatatu Julai 8, mwaka huu mjini Bukoba huku kikitarajiwa kushusha mashine mpya 12 na kuweka kambi yake mkoani Shinyanga kusaka utulivu. Mastaa wa timu hiyo walipaswa kuwasili mjini Bukoba kuanzia juzi (Jumatano) na kambi kuanza Alhamisi lakini kutokana na changamoto mbalimbali maandalizi hayo yamesogezwa…

Read More