Benki ya NMB yaweza Kukopesha hadi Sh. Bilioni 515 Kwa Mkupuo Mmoja ‘Single Borrower Limit’ – MWANAHARAKATI MZALENDO
NA MWANDISHI WETU; Kupitia Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Tanzania, yanayoendelea jijini Dar es Salaam, Benki ya NMB imeeleza ina uwezo wakukopesha hadi Sh.Bilioni 515 kwa mkupuo mmoja ‘single borrower limit’ kwa sababu yakufanya vizuri kwenye soko la Tanzania. Hayo yamesemwa na Meneja wa NMB Tawi la Sabasaba, Bi. Kidawa Masoud, katika banda…