Chuo hiki chazindua sherehe za miaka 60 ya kuanzishwa kwake
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dr. Hashil Abdallah, amezindua sherehe za miaka 60 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) katika kampasi kuu ya CBE, Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Dr. Hashil alitoa pongezi kwa CBE kwa mafanikio yake tangu kuanzishwa mwaka 1965 na kusisitiza umuhimu wa chuo hicho katika…