Vurugu polisi na wananchi: Askari ajeruhiwa, gari lavunjwa kioo
Rombo. Umezuka mtafaruku kati ya polisi wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Ubetu na kusababisha askari mmoja kujeruhiwa kichwani na gari la jeshi hilo kuvunjwa kioo. Wananchi hao walisababisha madhara hayo wakidai askari wa jeshi hilo waliwavamia na mitutu ya bunduki wakiwa kwenye sherehe. Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa…