WAZIRI SIMBACHAWENE: GARI LA WAGONJWA LISITUMIKE KUBEBA NYUMBA NDOGO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akikata utepe kwenye gari la wagonjwa huku wananchi wakishuhudia wakati wa makabidhiano ya gari hiyo kwa ajili ya matumizi yaliyokusudiwa katika Kituo cha Afya cha Ipera kilichopo katika Jimbo la Kibakwe, Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma. Waziri wa Nchi,…