SHIRIKA LA MAWASILIANO TANZANIA TTCL LAJA NA HUDUMA MPYA YA T- CAFE
SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao kwa bei nafuu katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu kama Vituo vya, Ttreni, Viwanja vya Ndege na Mabasi inayojulikana kama (T-CAFE). Akizungumza katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTCL Bi. Zuhura Muro alisema…