Mwenyekiti wa UWT taifa aongoza kongamano la mafunzo ya matokeo ya sensa
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comrade Marry Pius Chatanda ameongoza Kongamano la Mafunzo ya Matokeo ya Sensa kwa Makundi mbalimbali lililoandaliwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba lililofanyika Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kutoa Mwelekeo wa CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za…