Rais Samia: Mauzo ya Nje ya bidhaa yameongezeka kwa Trilioni 5
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa mauzo ya nje ya bidhaa za Tanzania yalipanda kutoka shilingi trilioni 12.3 mwaka 2019 hadi kufikia shilingi trilioni 17.3, sawa na dola za Marekani bilioni 6.56, mwaka jana. Rais Samia alitoa taarifa hiyo, Julai 3, 2024, jijini Dar es Salaam wakati…