Rais Nyusi aweka utayari Uwezeshaji wa Usafirishaji kwa njia ya Bahari
*Atoa kauli hii Banda la TIC Sabasaba Na Mwandishi Wetu , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wametembelea Banda la Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwenye Maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa ya Dar es Salaam…