Rais Samia, Nyusi wapongeza mkakati wa utanuzi PBZ, yakaribishwa kufungua tawi Msumbiji
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepongeza jitihada zinazofanywa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kupitia mkakati wake wa kujitanua katika mikoa mbalimbali nchini hususani Tanzania Bara, huku Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akiuomba uongozi wa benki hiyo kufungua tawi lake nchini Msumbiji. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Kwa mujibu wa Rais Samia mkakati wa…