‘Serikali itaendelea kusimamia, kukuza uadilifu wa maadili’- Dkt Biteko

📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili 📌Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama…

Read More

FCC YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA KWA MAFANIKIO

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akitoa elimu kuhusu (FCC) inavyofanyakazi kwa vijana waliotembelea Banda la (FCC) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024,…

Read More

WASANII WA FILAMU BONGO KUJIFUNZA ZAIDI KOREA KUSINI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Balozi wa Tanzania Korea Kusini, Ndg. Togolani Edriss Mavura amethibitisha kupokea ugeni wa Wasanii wa Filamu Tanzania nchini humo na kufanya mazungumzo ya namna ya kuendeleza ushirikiano na Korea kusini ili kupata ujuzi na uzoefu zaidi katika kukuza Tasnia ya Filamu nchini Tanzania. “Nimefanya mazungumzo na wasanii wa filamu wa Tanzania waliofika Ubalozini leo asubuhi….

Read More

Wananchi wanavyombana Waziri Aweso uhaba wa maji Dar

Dar es Salaam. Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam wamesema Serikali haiwezi kukwepa lawama ya kuwakosesha huduma ya majisafi, kwani moja ya jukumu lake ni kulinda usalama wao kwa kuwasogezea huduma muhimu. Hata hivyo, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amekubali hoja hiyo kwa kuwaomba msamaha, huku akieleza katika kukabiliana na ukubwa wa…

Read More

AHSANTENI SANA WANANCHI KWA KUTHAMINI HUDUMA YA POLISI

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga Julai 01, 2024 alikagua Mradi wa Ujenzi wa kituo cha kata ya Mbangala kilichopo wilaya ya Songwe ambacho kimejengwa kwa nguvu ya wananchi wa kata hiyo na ujenzi wake bado unaendelea mpaka sasa kituo hicho kimeghalimu kiasi cha shilingi Milioni…

Read More